msaada: juu ya mirathi

msaada: juu ya mirathi

cds

Senior Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
144
Reaction score
78
samahani, nauliza kuhusuk ugawa mirathi(mafao ya kazi ya kila mwezi) kwa asilimia kwa wanafamilia, je kuna umuhimu/ulazima na kama kuna madhara ni yapi.
Nb. Familia ni ya mjane mmoja ila kuna form ya mfuko wa jamii inahitaji hayo
 
Back
Top Bottom