snagnax
Member
- Apr 22, 2012
- 49
- 9
Rafiki yangu alifiwa na baba yake mwaka jana kwa bahati mbaya alikuwa ni mtoto wa nje ya ndoa kwakuwa baba yake alikuwa na mke na mtoto mmoja wa ndoa...lakini aliishi na baba yake na alitambulishwa na marehemu kama mtoto halali katika familia mpka ofisini...sasa amekuwa na wasiwasi katika ugawaji wa mirathi kwakuwa msimamizi wa mirathi ni mama wa kambo ambaye hakumepnda kabisa Rafiki yangu tangu enzi za uhai wa baba yake na majuzi alifatwa na mama yake wa kambo na kuambiwa kisheria hana haki ya kurithi chochote kitu ambacho si kweli...kwani sheria inasema kwamba kama mtoto alitambulishwa enzi za uhai wa marehemu basi na ye ni mtoto kama mtoto mwingine,naombeni ambaye anajua chochote cha jinsi ya kumsaidia rafiki yangu apate haki yake, kwani wasiwasi mkubwa ni kuachwa katika mgao mama yake wa kambo atakapo pata certificate of administration
Nb..marehemua baba yake hakuacha wosia na alikuwa ni mkristo.
Naombeni ushauri wenu wanaforum
Nb..marehemua baba yake hakuacha wosia na alikuwa ni mkristo.
Naombeni ushauri wenu wanaforum