Msaada juu ya mirathi

Msaada juu ya mirathi

snagnax

Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
49
Reaction score
9
Rafiki yangu alifiwa na baba yake mwaka jana kwa bahati mbaya alikuwa ni mtoto wa nje ya ndoa kwakuwa baba yake alikuwa na mke na mtoto mmoja wa ndoa...lakini aliishi na baba yake na alitambulishwa na marehemu kama mtoto halali katika familia mpka ofisini...sasa amekuwa na wasiwasi katika ugawaji wa mirathi kwakuwa msimamizi wa mirathi ni mama wa kambo ambaye hakumepnda kabisa Rafiki yangu tangu enzi za uhai wa baba yake na majuzi alifatwa na mama yake wa kambo na kuambiwa kisheria hana haki ya kurithi chochote kitu ambacho si kweli...kwani sheria inasema kwamba kama mtoto alitambulishwa enzi za uhai wa marehemu basi na ye ni mtoto kama mtoto mwingine,naombeni ambaye anajua chochote cha jinsi ya kumsaidia rafiki yangu apate haki yake, kwani wasiwasi mkubwa ni kuachwa katika mgao mama yake wa kambo atakapo pata certificate of administration

Nb..marehemua baba yake hakuacha wosia na alikuwa ni mkristo.
Naombeni ushauri wenu wanaforum
 
katika ya mirathi inatuelekeza kwamba pindi mtoto wa nje anapotambulishwa na baba yake kwa familia ya mke mkubwa na kutoa faini mtoto wa nje ya ndoa amethibitishwa kuwa ni mtoto halali wa familia hiyo na anayo haki ya kurithi sehemu ya mali ya baba yake kwa maelezo zaidi nitafute kwa maelezo zaidi 0757001400/0657358720 nashukuru
 
awaone wanasheria akiwa na vielelezo vinavyodhibitisha aliyekufa ni bbake na atapatiwa msaada kama anastahili kupata sehemu yake....
 
Back
Top Bottom