Msaada juu ya mkataba hadaifu

Msaada juu ya mkataba hadaifu

CalvinD

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2016
Posts
246
Reaction score
355
wakuu naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya huyu mdogo angu ambae ni muajiriwa wa taasisi ya umma, alijaza mkataba wa mkopo kutoka taasisi fulani na maafisa wa iyo taasisi akaambiwa kipengele cha deni kuu na muda wa mkopo kuisha utajazwa baada ya kuongea na mwajiri wake lakini cha kushangaza akakuta amejaziwa muda mrefu wa kulipa ilo deni na na deni kuu kikiwa ni mara sita ya ela alioomba.

Copy ya mkataba ambao alijaza yuko nao na kipengele icho alichoambiwa asijaze kipo wazi lkn katika copy halisi wamemjazia hao maafisa huo muda na deni kuu.

Je, afanyaje kuchukua hatua za kisheria dhidi ya iyo taasisi?
 
Awaandikie demand letter ya kuwatisha atawapeleka mahakani kwa forgery wasipobadikisha
 
wakuu naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya huyu mdogo angu ambae ni muajiriwa wa taasisi ya umma, alijaza mkataba wa mkopo kutoka taasisi fulani na maafisa wa iyo taasisi akaambiwa kipengele cha deni kuu na muda wa mkopo kuisha utajazwa baada ya kuongea na mwajiri wake lakini cha kushangaza akakuta amejaziwa muda mrefu wa kulipa ilo deni na na deni kuu kikiwa ni mara sita ya ela alioomba.

Copy ya mkataba ambao alijaza yuko nao na kipengele icho alichoambiwa asijaze kipo wazi lkn katika copy halisi wamemjazia hao maafisa huo muda na deni kuu.

Je, afanyaje kuchukua hatua za kisheria dhidi ya iyo taasisi?
Ali sainije document ambayo ni incomplete!??
 
Back
Top Bottom