Ndagu ni aina ya ushirikina au uchawi wa kufanya jambo lolote kama kutoa kafara ili upate mali,ni neno la kisukumaMmh ndagu ni nini, samahani
Oooh ahsanteLabda nimekosea kiswahili, huenda ziaitwa ndago..hii ni aina ya nyasi
Nami najua ndagu ni ushirikina teh sijui matambiko ila najua ni ushirikina sasa nlivoona ndagu zipo shambani nikashindwa kuelewa tehNdagu ni aina ya ushirikina au uchawi wa kufanya jambo lolote kama kutoa kafara ili upate mali,ni neno la kisukuma
[/QUOTE]POLE KIONGOZI JARIBU KUTAFUTA DAWA YA KUUA MAGUGU JAMII YA GLYPHOSATE KAMA ROUND UP AU MO ROUND, TAFUTA NA MBOLEA YA UREA KIDOGO, UTAKACHOFANYA UTAMIX MLS 80-100 ZA DAWA KWA MAJI LITA 15 KISHA NDANI YA HAYO MAJI YA LITA 15 UTAWEKA UREA NUSU KILO HIVI UJITAHIDI UKOROGE HIYO MBOLEA ICHANGANYIKE VIZURI
KATIKA MAJI.
HIYO UREA INASAIDIA KUAMSHA MAGUGU KUMEA TANGU KATIKA KIINI CHA GUGU SO WAKATI YANACHIPUKA YATAKUTANA NA HIYO GLYPHOSATE (SUMU) INASHUKA SO ITAUA
MPAKA KIINI CHA GUGU, JITAHIDI UKITAWANYE HICHO KIFUSI, UTARUDIA ZOEZI HILI BAADA YA SIKU 7, NA ITAKUPASA KUKAA SIKU 21 NDIO UPANDE ZAO ULILOKUSUDIA. KILA LAKHERI.
QUOTE="lidoda, post: 16128770, member: 10450"]Ni kwa bahati mbaya nilipojaza kifusi ndani ya garden yangu kumekuwa na ndagu nyingi sana. Hizi ndagu inaonekana zililetwa na hicho kifusi.Nimejaribu kuzign'oa lakini bado zipo na zimenikatisha tamaa jinsi ya kuziua..
Kwa wale wenye ushauri naomba mnishauri kusudi niziue hizi ndagu
Natanguliza shukurani zangu kwa ushauri wenu mzuri
Asante sana kwa ushauri wako...Nitafanya hivyo kiongozi[/QUOTE]

Ndago sio ndaguNdagu za waganga usukumani???
Ndago ni aina ya nyasi kma magugu ambazo ukizing'oa chini huwa zina vitu kama karanga watoto huziita nazi coz hufanana ladha zikiliwa.Mmh ndagu ni nini, samahani