POLE KIONGOZI JARIBU KUTAFUTA DAWA YA KUUA MAGUGU JAMII YA GLYPHOSATE KAMA ROUND UP AU MO ROUND, TAFUTA NA MBOLEA YA UREA KIDOGO, UTAKACHOFANYA UTAMIX MLS 80-100 ZA DAWA KWA MAJI LITA 15 KISHA NDANI YA HAYO MAJI YA LITA 15 UTAWEKA UREA NUSU KILO HIVI UJITAHIDI UKOROGE HIYO MBOLEA ICHANGANYIKE VIZURI
KATIKA MAJI.
HIYO UREA INASAIDIA KUAMSHA MAGUGU KUMEA TANGU KATIKA KIINI CHA GUGU SO WAKATI YANACHIPUKA YATAKUTANA NA HIYO GLYPHOSATE (SUMU) INASHUKA SO ITAUA
MPAKA KIINI CHA GUGU, JITAHIDI UKITAWANYE HICHO KIFUSI, UTARUDIA ZOEZI HILI BAADA YA SIKU 7, NA ITAKUPASA KUKAA SIKU 21 NDIO UPANDE ZAO ULILOKUSUDIA. KILA LAKHERI.
QUOTE="lidoda, post: 16128770, member: 10450"]Ni kwa bahati mbaya nilipojaza kifusi ndani ya garden yangu kumekuwa na ndagu nyingi sana. Hizi ndagu inaonekana zililetwa na hicho kifusi.Nimejaribu kuzign'oa lakini bado zipo na zimenikatisha tamaa jinsi ya kuziua..
Kwa wale wenye ushauri naomba mnishauri kusudi niziue hizi ndagu
Natanguliza shukurani zangu kwa ushauri wenu mzuri