Wakuu hivi neno "kuaga" lina uhusiano na matendo ya kichawi?
Ninauliza hivi kwa sababu hivi sasa kuna mjadala wa moto unaoendelea kwenye jukwaa la siasa kutokana na Mheshimiwa Zitto kusema yeye alipoondoka kule Kigoma aliaga. Watu wengi wanatafsiri kwamba Mheshimiwa kwa kusema ameaga ana maana kwamba amekalangiza ndumba ili kujikinga na wabaya wake.