Msaada juu ya neno "kuaga"

Msaada juu ya neno "kuaga"

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,234
Wakuu hivi neno "kuaga" lina uhusiano na matendo ya kichawi?

Ninauliza hivi kwa sababu hivi sasa kuna mjadala wa moto unaoendelea kwenye jukwaa la siasa kutokana na Mheshimiwa Zitto kusema yeye alipoondoka kule Kigoma aliaga. Watu wengi wanatafsiri kwamba Mheshimiwa kwa kusema ameaga ana maana kwamba amekalangiza ndumba ili kujikinga na wabaya wake.
 
Inategemea na mandhari neno lilivotumika....
Kwa mazingira hayo huwa linahusishwa na ushirikina!!!!
 
Back
Top Bottom