The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
Habari zenu ndugu zangu, ebwana na shida ya kujua vyuo vinavyotoa post graduate or Masterz online kwa hapo East Africa.
Tafadhali naomba mwenye kufahamu anijuze.
AHSANTE MKUU.............basi si ungetaja hivyo vyuo unavyovijuwa vya ULAYAS...............duuuuuuuuu, punguzeni uchoyo!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S 465::A S 465::A S 465:
Yaani wewe unataka msaada lafu umeanza kukashifu watu tena! kama ulijua ni wachoyo kwanini uliomba msaada?
anza na hiki hapa: Distance learning with the University of London International Programmes: flexible study options
Lakini uki search google utapata mamia ya hizo programs.
aloomba msaada anaitwa THE HUNTER alokashfu anaitwa PASCO_JR_NGUMI, ni mtu mmoja?