Msaada juu ya On line courses!

Msaada juu ya On line courses!

The Hunter

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
1,049
Reaction score
306
Habari zenu ndugu zangu, ebwana na shida ya kujua vyuo vinavyotoa post graduate or Masterz online kwa hapo East Africa.
Tafadhali naomba mwenye kufahamu anijuze.
 
Habari zenu ndugu zangu, ebwana na shida ya kujua vyuo vinavyotoa post graduate or Masterz online kwa hapo East Africa.
Tafadhali naomba mwenye kufahamu anijuze.


Sababu gani inakufanya utake vya East Africa? Kama ni kusoma nafikiri tumia fursa hiyo kusoma chuo chochote duniani...Online education haina mipaka!!! Vile vile utafaidika zaidi ukisoma online education kwa kusoma vyuo vya nchi zilizo endelea kwani vina uzoefu wa kutosha katika utoaji wa elimu kwa njia hiyo. Vyuo vya nchi zilizo endelea vina tafiti endelevu za namna ya kuboresha hiyo elimu, na tafiti hizo zinafanyiwa kazi, vile vile mahitaji ya technolojia wana yamuda katika kiwango cha kuridhisha, manake kuna vyuo vinaendesha "real time lectures" ambazo wewe unachangia na kuuliza maswali kama vile uko darasani, yaani namanisha sio zile za kurekodi na uje usikilize tuu! vyuo vilivyo juu vinakupa nafasi ya kuhudhuria hizo real time lectures au kama hauna muda zinarekodiwa na baadae utaisikiliza kwa wakati wako. vile vile vina library zenye ebooks na majournals ya kufa mtu.

Sio kwamba nakudiscourage na hizi za online za East africa ila najaribu kukushauri tuu kwamba initial investment ya online education inahitaji mtaji mkubwa katika technology na human capital ambapo naona vyuo vyetu vya East Africa vinaweza visiwe tayari kuthubutu.
 
AHSANTE MKUU.............basi si ungetaja hivyo vyuo unavyovijuwa vya ULAYAS...............duuuuuuuuu, punguzeni uchoyo!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S 465::A S 465::A S 465:
 
Nashukuru kwa msaada huo, kama una vingine na kama unajua ada zao utakuwa umenisaidia zaidi.
 
Mhusika wasiliana na Professor mmoja mtanzania ambaye ni bingwa wa masomo ya online anafunza kwenye shule za wenyewe.
Alinisaidia sana kuchukua some courses online ambazo na yeye anafunza
nitakuibia anwani yake
Anaitwa Dr. Alhamis
email yake ni innocentus.alhamis@snhu.edu
Huyu atakusaidia bila hofu
goodluck!
 
Back
Top Bottom