Msaada juu ya pikipiki bora

Msaada juu ya pikipiki bora

Nyie mnaomtisha mwenzenu kuwa piki piki ni risk basi muongezeeni hela akanunue gari sio mnoangea kama mabinti wa promosheni....

Mimi nina mwaka wa kumi natumia piki piki na sijawahi hata kupata mchubuko wa ajali...chombo chochote cha moto kinataka nidhamu ya hali unapokiendesha.....nina ndugu na marafiki wengi waliopoteza maisha na kupata vilema kwa ajali za gari.....na pia ninawafahamu wengi waliopata ulemavu kutokana ajali za piki pik......na hii mara nyingi huchangiwa na uzembe wa dereva pamoja na mwendo kasi.....

UMAKINI LAZIMA UWE JUU...
 
piki pik honda sema bei ghal au hiz bajaj sio mbaya kuna bajaj pulsar 150,discovry 150 au boxer
 
Back
Top Bottom