msaada juu ya qualification za applicant anaechukua certificate ya procurement chuo cha TIA

msaada juu ya qualification za applicant anaechukua certificate ya procurement chuo cha TIA

Noel kaniki

Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
22
Reaction score
4
msaada juu ya qualification za applicant anaechukua certificate ya procurement chuo cha TIA, every each quality.
kwa wale wanaojua hili swala nisaidieni.
 
uwe na D nne,hawajaongelea math,gharama ya hiyo kwa mwaka kiujumla ni Tsh 745,000 kwa mwaka.
 
wanasema math uwe na D lkn sio muhimu. Mimi nipo diploma mwaka wa pili sasa, nilianza certificate bila D ya math. Kikubwa wanataka tu pass nne. Zaidi tembelea hapaHome
 
wanasema math uwe na D lkn sio muhimu. Mimi nipo diploma mwaka wa pili sasa, nilianza certificate bila D ya math. Kikubwa wanataka tu pass nne. Zaidi tembelea hapaHome

mkuu unasafari ndefu wewe! Na mi naomba kuuliza hiyo ada ni pamoja na malazi na chakula? Au unalipa ada na mambo mengine utajijua?
 
chakula,hostel,an all basic needs ni juu yako.
 
Back
Top Bottom