Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari zenu wanajukwaa, naomba kwa anayefahamu rehab nzuri ikiwa pamoja na gharama zake na mkoa ilipo, naomba anisaidie nipo na uhitaji sana wa kuokoa maisha ya kaka yangu.
Ni alcoholism, imefikia stage mbaya sana.
Au kama kuna namna yeyote ile tafadhali naomba ushauri wako.
Habari zenu wanajukwaa, naomba kwa anayefahamu REHAB nzuri ikiwa pamoja na gharama zake na mkoa ilipo, naomba anisaidie nipo na uhitaji sana wa kuokoa maisha ya kaka yangu.