fkimwaga88
Member
- Dec 18, 2012
- 28
- 17
Nawasalimu wanajukwaa!
Natatizwa na Jambo kuhusu mkopo wa benki Fulani, itakapolazimu nitaitaja.
Mimi ni mtumishi wa umma ktk halmashauri Fulani, nimeomba mkopo wa wafanyakazi kwa makato ya sh 138000 kwa Kila mwezi kwa muda wa miaka 8.
Ukizidisha sh 138000 kwa miaka 8 ni jumla ya sh isiozidi 13250000/-.
Jambo langu ni hapa, Nimepewa barua ya kumkabidhi mwajiri wangu aingize makato ya sh 138000/- kwa miaka nane na jumla ya hela kwa miaka yote ni sh 13525000/-
Nimemuliza afisa mikopo mbona hivi? Anasema ndiyo iko hivyo na mikopo mingi system zao zinawaletea hivyo, Ila hilo halisumbui kwani muda wa mkopo ukiisha system inajifunga automatic!.
Swali langu kabla sijazozana nao,je nikweli analosema afisa mkopo wa benk X litakua hivyo?
Kama ni kweli kwanini wasiweke tarakimu kamili, wanakwama wapi ktk Zama hizi za kompyuta na teknolojia?
Kabla sijapeleka Jambo hili TAKUKURU naomba mawazo yenu enyi jamaa zangu!
Asante!