Msaada juu ya router yangu iweze kutumia laini zote

Msaada juu ya router yangu iweze kutumia laini zote

keikiu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
2,337
Reaction score
1,969
Nina router ya Home Internet ya Tigo sasa kwa wale wenye ujuzi wa ku unlock niweze kutumia kwa laini zote nahitaji msaada please.
 
Nina router ya Home Internet ya Tigo sasa kwa wale wenye ujuzi wa ku unlock niweze kutumia kwa laini zote nahitaji msaada please.
Ni zile nyeupe au nyeusi? Nyeupe naskia zinafunguka, kasheshe tule tweusi twa sasa hivi naskia ni changamoto ku unlock, ila naamini hakuna linaloshindikana hapa chini ya jua....


Ushauri: Weka picha na Model number/name hapa ficha IMEI tu, naamini wana watakupa ushauri na solution...
 
Na mm ninazo mbili hapa home za smile
Hii yz smile ya 4g mi nilifanikiwa kubadilisha na kuweka line ya tigo na inadunda vizuri tu so far. Ni ya 4G lakini. Haipati moto naiwachaga inapiga 24 hours and more. Nafikiri in my opinion if you ask me mkwa sasa kwetu hapa Tanzania 4G ni reliable in almost every place. Hii mambo ya kikimbilia 5G ni hadithi za abunuwasi na hawa MNO wanajua running it is costly. They can not afford its infrastructures cause they are definitely expensive.
Nilichoshindwa kuelewa ni kwa nini hawaweki vifurushi rafiki vya unlimted kwa 4G kama hiki cha elfu 70 wameki limit kwa 5G routers only when they know for sure kuwa 4G ndio inakamata vizuri sehemu kubwa ya nchi kwa sababu walisha tandaza infrastructure vizuri everywhere in the country. Maana hata hizo 5G router ukifika sehemu ambazo hamna hiyo service zinashuka ku operate in 4G na ndio maana kwenye hiyo down change hizo 5G router huw zinapata sana moto. Anyway wajuzi wa mambo naombeni msaada wenu wa technical schooling mi uelewa wangu bado uko butu kidogo nahitaji elimu kwenye hii dunia. Asanteni sana
 
Back
Top Bottom