Nimeshajisajili na huduma hii ya kuangalia salary slip kupitia Computer, na nikiangalia kupitia computer huduma inapatika lakini nikitumia simu ya mkononi, sehemu zote nazotakiwa kujaza zinakubali isipokua sehemu ya MWAKA ndio inashindwa kuonesha salary slip na system inaniambia THE FIELD FISCAL YEAR MUST BE A NUMBER" na wakati nakuwa nilisha ingiza Mwaka kwa Kutumia Namba. Sijaelewa nakosea wapi. Anaejua naomba msaada