Msaada juu ya standard chartered bank.

prakatatumba

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
1,328
Reaction score
191
Nilituma maombi, nikapata email kwamba natakiwa kufanyiwa online assessmnets katika vitu vifuatavyo:
1. Abstract reasoning test
2.. Numerical test
3. Work related strength assessment
wadau naomba kujuzwa jinsi inavyofanyika na mifano ya hayo maswali katika kila kipengelee ili nijiandae maana nimefanya interview ila sijawahi kukutana na hivi vitu. This is important chance in my life. Natanguliza Shukran zangu za dhati.
 
umetuma maombi au umejiandikisha? ukishamaliza kujiandikisha kuna maelekezo watakutumia kwenye email yako baada ya hapo utasoma kilichoandikwa kwenye email na kuna link watakupa uifuate.utakuta kuna mfano wa abstract test utajaribu kadri upendavyo kulingana na uelewa wako maswali yenyewe ni ya logic baada ya hapo unachagua kuanza test yenyewe dakika 2 maswali 4 kw hiyo unahitaji kama 1/2 saa tulivu. ukimaliza una submit halafu unasubiri majibu. kumbuka ukifeli test ya kwanza huwezi kwenda ya pili yaani numerical test. nakutakia kila la kheri
 

Mwanangu Mungu atakusaidia maana unataka upate ajira ili uendelee na maisha yako
Nina dada yupo pale standard lakini kweli nikitoa number yake hatafurahi. Ungejaribu kwenda physically kwa watu waliowahi kufanya test hizo kwenye BANK mbali mbali kama 3, uwaulize inakuwaje? Ila kama alivyokuelezea huyo kaka aliyekujibu fuatia maagizo yake na omba uwe na utulivu mkubwa ili uelwe maswali acha mambo yakufikiria jinsi umehangaiaka kupata kazi concetrate kwenye kuelewa swali na uwe very fast maana utakuwa online na dakika zinakwenda haraka.
I wish you all the best
 
Kama unatataka kufanya mazoezi na kuona hayo maswali yanakuwaje jaribu kuingia kwenye www.practiceaptitudetests.com ufanye mazoezi kidogo.Hii itakusaidia kukupa mwangaza wa muundo wa maswali.
 

ahsante sana mkuu mkuu inabidi kuwa internet masaa yote ya test, na hii mitandao yetu hapa Tanzania ni changamoto nyingine.
 

yaani hapa nilikuwa nafikiria sample ya hayo maswali, ahsante kwa ushauri wako ngoja nijaribu kutafuta watu ambao washapitia hizo test nipate uzoefu wa maswali hayo ya kibank
 
nimejkifunza kitu hapa..asanteni washauri japo sitafuti kazi ila nategemea kufanya interview kwenye macompany ya kimataifa.
 
yaani hapa nilikuwa nafikiria sample ya hayo maswali, ahsante kwa ushauri wako ngoja nijaribu kutafuta watu ambao washapitia hizo test nipate uzoefu wa maswali hayo ya kibank

Mkuu usipanic sana kuanza kutafuta simbi.., kama upstairs uko vizuri ni maswali tu ya kukupima uelewa na reasoning capacity yako. Cha muhimu ni kufikiria haraka uwezavyo. Kwa mtu wa level ya degree ya kwanza hiyo test sio ngumu. Nilishawahi kufanya enzi hizo ila ilikuwa ni written!
 

ahsante sana mkuu, ngoja nijitose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…