Tatizo lako linaanzia kwenye ubongo,,find health psychologistWakuu habar za jioni hii
Polen na mfungo, wa poleni na harakati za familia na poleni kwa safar zote za maisha
Lengo la kufungua uzi huu ni juu ya tatizo la meno pindi mtu anaposugua kitu kwa nguvu chini meno yangu yanakuwa yanapata tabu. lkn pia hili tatizo limeongezeka hivi karibuni kwani kwa sasa hata nikizigusa nywele zangu kama nataka kuzifuta maji au kuchana nywele meno yanauma .Pia hat nikiwa naandika kitu ktk karatasi basi meno yanauma
Wakuu mwenye ujuzi na hili tafadhali
yawezekana ndugu,kuna namna ubongo wako unatafsiri vitu tofauti mfano kuona,kushika,kuskia....brain interpretationMkuu lakini linatibika?