Msaada juu ya tatizo la meno

Msaada juu ya tatizo la meno

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
5,259
Reaction score
10,078
Wakuu habar za jioni hii
Polen na mfungo, wa poleni na harakati za familia na poleni kwa safar zote za maisha

Lengo la kufungua uzi huu ni juu ya tatizo la meno pindi mtu anaposugua kitu kwa nguvu chini meno yangu yanakuwa yanapata tabu. lkn pia hili tatizo limeongezeka hivi karibuni kwani kwa sasa hata nikizigusa nywele zangu kama nataka kuzifuta maji au kuchana nywele meno yanauma .Pia hat nikiwa naandika kitu ktk karatasi basi meno yanauma

Wakuu mwenye ujuzi na hili tafadhali
 
Tatizo lako linaanzia kwenye ubongo,,find health psychologist
 
Back
Top Bottom