MSAADA JUU YA UKUBWA WA GRAPHIC CARD YANGU

Anko Elly

Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
69
Reaction score
70
Penye wengi daima pana mengi, nimekuwa mfuatiliaji wa mada zinazoendelea kwenye jukwaa hili la Teknolojia hasa ukizingatia kadri siku zinavyozidi kwenda basi na teknolojia nayo inazidi kushika hatamu.

Nisingependa kuwachosha Great Thinker wenzangu bali nimekuja kuomba kupatiwa ufafanuzi juu ya ukubwa wa Graphic Card ya Laptop na endapo nikitaka kuongeza kufikia walau ukubwa wa kucheza PC Games kubwa natakiwa niongeze walau kiasi gani?

Nimeambatanisha picha ya Specification ya Graphic Card yangu kwenye uzi huu.

Laptop : Dell latitude E6410
Ram : 4Gb
HDD : 500 GB
Processor : 2.5
Graphic card : ?

Nawasilisha
 
Attachments

  • Graphic Card.jpg
    Graphic Card.jpg
    35.8 KB · Views: 142
  • Graphic Card2.jpg
    Graphic Card2.jpg
    32.4 KB · Views: 134
mkuu hio gpu yako kwanza sio ya games ni kwa ajili ya pro, inafanya vitu kama AUTOCAD, modelling mbali mbali za 3d, rendering etc pia ni ya zamani toka 2011. unaweza itumia kucheza games lakini haitakuwa na speed sana utacheza games ndogo ndogo za zamani.

kuhusu kuiongeza hutoweza
 
Ndio maana nikijaribu kucheza games kama Euro Truck inakuwa haina speed kiivyo, nimejaribu kucheki size ya Graphic Card nimeona ni 2GB na ushee hivi.

Sasa ndugu natakiwa nifanyaje ili niweze kufanyeje? Je, naweza kubadilisha hii Graphic Card nikaweka ambayo itakuwa compatible kwa ajili ya games?
 
hapana kwa laptop huwezi
 
hapana kwa laptop huwezi
Habari mkuu...

Niko na update my pc hapa baada ya kuweka linux mint tena...

natumia laptop yenye procesor ya kampun ya intel

Je naweza kuweka drivers za AMD, NVID au kuna hizi za inux zinaitwa proprietary video drivers!! (sorry kama nitakua nimechanganya majina)

Sasa hapa nimechanganyikiwa sijui niweke ipi niache ipi....naomba muongozo mkuu!!
 
Ndio maana nikijaribu kucheza games kama Euro Truck inakuwa haina speed kiivyo, nimejaribu kucheki size ya Graphic Card nimeona ni 2GB na ushee hivi.

Sasa ndugu natakiwa nifanyaje ili niweze kufanyeje? Je, naweza kubadilisha hii Graphic Card nikaweka ambayo itakuwa compatible kwa ajili ya games?
Tafuta mashine zingine zenye GPU atleast kuanzia GTX 1050 kwenda juu Ile mema ya Dunia hakikisha Ina vram 4Gb na kuendelea
 
Habari mkuu...

Niko na update my pc hapa baada ya kuweka linux mint tena...

natumia laptop yenye procesor ya kampun ya intel

Je naweza kuweka drivers za AMD, NVID au kuna hizi za inux zinaitwa proprietary video drivers!! (sorry kama nitakua nimechanganya majina)

Sasa hapa nimechanganyikiwa sijui niweke ipi niache ipi....naomba muongozo mkuu!!
Kama mashine Yako in graphic card za AMD au Nvidia na imemiss drivers ndio unaweza weka lakini kama Haina card haiwezekani

Kama unataka Mambo ya upgrading nunua desktop nzuri uweze kubuild mwenyewe gpu ni gharama pia so jipange mpwa kama vp nunua laptop brand HP, dell, Asus zenye GPU nvidia 1050,1650,1680 na rtx 2060,3060 & 4060 Ni swala la Pesa Tu
 
Back
Top Bottom