Msaada Juu ya Vioo vya aina hii vya Miwani ya Macho

Msaada Juu ya Vioo vya aina hii vya Miwani ya Macho

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Habari za Jumapili.....

Naomba nipate kujuzwa hili

Nahitaji vioo vya miwani ambavyo vinakinga mwanga wa jua lakini havibadiliki rangi kua vyeusi, vinabaki na rangi yake ile ile ya kioo

Kama vipo, Gharama yake ni Bei gani?
 
Back
Top Bottom