Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
NADHANI ukiwasiliana na mamlaka husika zilizotoa vyeti hivyo mkienda mahakamani kuapa mtapewa waraka utakaothibitisha kuwa bwana SAID na SAIDI ni mtu mmoja,hivyo kuondoa uvulivuli katika jambo lako
SWALI LA KIZUSHI: Hivi mkuu living certificate na cheti cha darasa la saba vinatumika kuombea kazi eeee?#justCurious

Mkuu cjaelewa, niwasiliane na taasisi zilizotoa vyeti moja kwa moja au niende tu mahakamani nikaape?