Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Nimeona nililete hili suala humu kwa kuwa ni sehemu sahihi yenye watu sahihi. Ndugu zangu nina vyeti 2 ambavyo vina mushkeli kidogo katika jina. Na juz juz nilikosa nafac ya interview kwa sababu ya vyeti hivyo.
Tofauti iliyopo ni katika jina "SAID" vyeti vyangu vyote icpokuwa hivi 2 viliandikwa "SAID" ila katika leaving cerrificate 1 ya 4m 4 na cheti cha drs la 7 wameongeza "I" na kuwa saidi. Je hapa kisheria ni kosa? Na kama ni kosa nifanyeje wakuu na shule wamesema haiwezekani kutoa vyeti vingine. Msaada jamani