Msaada juu ya wimbo huu

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,976
Reaction score
3,130
Habari?
Kuna wimbo wa dini umeimbwa na mkenya naupenda saana.
wimbo huu sijui jina lake wala mwimbaji ila hutumiwa na kbc tv kweny kipindi cha watu wenye ulemavu kuna maneno kama mimi ni udongo nifinyange!
 
Asante! ngoja niutafute! kama kuna mtu atakuwa nao aniwekee hapa kwa urahis zaid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…