DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,130
Habari?
Kuna wimbo wa dini umeimbwa na mkenya naupenda saana.
wimbo huu sijui jina lake wala mwimbaji ila hutumiwa na kbc tv kweny kipindi cha watu wenye ulemavu kuna maneno kama mimi ni udongo nifinyange!