johnmasawe
New Member
- Dec 23, 2012
- 2
- 0
Hujatoa maelezo ya kutosha,angalia aina ya godoro unalolalia,jinsi ya mgongo wako unavyopinda unapokaa(wengine unakua kama upinde-ni hatari sana),pia jaribu kujicheck aina ya unyayo wako yaani kama ukoflat au umeingia kidogo kwa ndani na kutengeneza kauvungu,wenye miguu (nyayo) flat mara nyingi husumbuliwa na matatizo ya maumivu ya mgongo.Plz plz msaada wenu wadau