Msaada juu yakuumwa namgongo

Msaada juu yakuumwa namgongo

Plz plz msaada wenu wadau
Hujatoa maelezo ya kutosha,angalia aina ya godoro unalolalia,jinsi ya mgongo wako unavyopinda unapokaa(wengine unakua kama upinde-ni hatari sana),pia jaribu kujicheck aina ya unyayo wako yaani kama ukoflat au umeingia kidogo kwa ndani na kutengeneza kauvungu,wenye miguu (nyayo) flat mara nyingi husumbuliwa na matatizo ya maumivu ya mgongo.
 
Mimi pia husumbuliwa na tatizo kama hilo.mara kwa mara huumwa sana na mgongo kili ninapokuwa nimefanya tendo la ndoa.pia huwa natumia zaidi ya masaa 10 nikiwa nimekaa kila siku.MSAADA taf.
 
Wewe Ilotatizo lakuumwa mgongo badala ya tendo kwakweli hilo ni tatizo nenda kamuonne doctor kwasababu awezi kufanya tendo alafumgongo huume ashauli wangu nenda hospital.
 
1 Google ergonomics and how to adress it. Unaweza kuelewa wapi tatizo limeanzia

2 fuata ushauri hapo juu kuhusu godoro. Shelf life ya godoro ni miaka 4 unless ni orthopwdic (lile gumu kama mbao). Godoro la spring linaweza kuwa bora zaidi kwako

3 umeongezeka uzito kwa walau 10% hivi karibuni? Kama ndio hangaikia kupungua kwanza

4onana na dr. Inawezekana kukawa na tatizo linalohitaji tiba
 
Back
Top Bottom