Msaada kabla ya kupima HIV

moi wa kitaa

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
931
Reaction score
940
Habari wakuu?

Niko na shida kidogo naombeni dalili za mwanzo kabsa za HIV tangu kuambukizwa!!

NB kwa anafaham lakin
 
Kwa hali ya sasa sidhani kama unaweza kupewa dalili maalum (specifc) na zikawa ni tatizo hilo moja kwa moja.

Kuna dalili zinarandana sana na matatizo mengine na sio vvu.

Na pia dalili hutegemea na Mtu husika, kuna dalili zaweza kuwa kwa Mtu mmoja na mwingine asiwe nazo...njia pekee ni kupima tu Mkuu.
 
Barikiwa sana mzee
 
Thd za hivi mbona zimekua nyingi sana hapa JF?

Hii ina ashiria nini wakuu?
 
Kabla haujapima HIV jitahid Kula vizuri, balance diet, Fanya mazoez, tibu kinachokusumbua

Then ndio uende ukapime
 
Kipindi cha miezi 3 baada ya maambukizi mgonjwa anaweza akaumwa sana hata kwa week mpaka mwezi,
Ataumwa mafua, homa, kutapika, diarrhea etc
After hapo mgonjwa atarudi kwenye hali ya kawaida na anaweza kukaa hata miaka bila dalili yoyote kujitokeza kulingana na immune system yake.
Hiki ndio kipindi kibaya kwasababu ataambukiza watu wengi bila kujua kuwa na yeye ni mgonjwa na kama hayupo makini hatojua aliupatia wapi.
 
Daah huu ugonjwa ni amsha Sana , usikie Kwa mwenzako tuu...mkuu kapime Tu, nakushauri kapime sehemu ambayo kuna Counselor wa viwango vya standard gauge
 
Mkuu tafta vile vipimo jipime mwenyewe
 
Aiiseee, pole jipe moyo kapime na uchukue majibu maana mmmh.
 
Mkuu vipimo vipo mpk vya kutumia mate jipime mwenyeee baada ya kujitafakari na kujikubali
 
Habari wakuu!!? Niko na shida kidogo naombeni dalili za mwanzo kabsa za HIV tangu kuambukizwa!!


Nb kwa anafaham lakin
Mkuu ukimwi haupo upo kichwani mwako yaani Ni just manipulation tu ya elite society kuinyonya dunia. Hebu Soma Kuna nyuzi humu za jamaa mmoja anaitwa deception utauelewa.iko ivi ukiwa hauna ukimwi Ila mtu akani manipulate yake majibu ukapewa kuwa unao utaanza kweli kuwa na ukimwi nikuambie ukweli. Ukianza kuzitumia sawa Kinga yako inakuwa dependent on it so we/o no surviving.
Virus wakiingia mwilini Ni fasta dalili zinaonekana Ila Hawa virus wao hawaonekani wanapima tu antibodies whether they're positive or negative.
Omba wakuonyeshe hata mchoro wa was hiv virus hawana.
Hii Ni biashara ya watu Kama walivyoleta korona sema wakashindwa kupiga hela kwa muda mrefu sema kwa muda mchache walifanikiwa na wajanja walipata billions of USD .

Unaweza ukawa na positive or excess antibodies due to various reasons yaani mana yake Ni kuwa Askari wengi mno wamefungilia ili kupambana na adui akaingia mwilini ambaye Ni mkubwa sana.sasa Askari wa mwili kuachiwa na self mechanism ya mwili sio kuwa Ni kuwa Ni huo ukimwi tunaoaminishwaga.
Nakuomba update habari za kina sana about this shit.

Kiukweli I don't regret to go to school.
When you go to school or told something or learn something don't go totally whole always retain some percentage of pessimism.
Ni muhimu sana Sasa sema ukiwa school unaamini kabisa Kama vile uko na kwenye finish na hata huko kwenye finish haitakiwi uamini mazima inatakiwa ubakize ubongo fulani wa ku question reality,kinachosemwa,ukikabididhi akili yako huko utaumia.
Kwa saivi Niko hapa tz mahalo fulani Kuna daktari wetu wa kiafrika anaunga watu mifupa mpaka madaktari wa walisoma elimu ya mkoloni wanaleta ndugu zao.
Sasa wewe Zama mazima halafu disi nature mana wazungu wamekuaminisha kuwa vya kwao ndio vizuri Ila vya kwetu Ni vinay. Ndio mana mwanao unaona ufahari kuongea English na lugha yenu haijui so unajiproud mbaya sana
 
kila mmoja na dalii zake na kuna baadhi wanaweza kaa hata miaka 20 baada ya kuambikizwa na wasiwe na dalili.

Kikubwa nenda kapime uwe na uhakika. Endapo utakutwa +Ve sio mwisho wa dunia, tumia dawa, kula vizuri na uache ngono zembe maana hata ukiwa nao tayari unaweza kuambikizwa mzigo mpya.
 
DUUH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…