Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Thd za hivi mbona zimekua nyingi sana hapa JF?
Hii ina ashiria nini wakuu?
Haya ni matunda ya ule uzi pendwa kule mmu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thd za hivi mbona zimekua nyingi sana hapa JF?
Hii ina ashiria nini wakuu?
Habari wakuu?
Niko na shida kidogo naombeni dalili za mwanzo kabsa za HIV tangu kuambukizwa!!
NB kwa anafaham lakin
Hatari sana aisee,maana unaweza kusoma story ya mtu kule kisha wewe ukaenda kuifanyia kazi kumbe mwenzako ameleta fake story kufurahisha tu au ili mradi nae achangie,Haya ni matunda ya ule uzi pendwa kule mmu
Usiduwae wa nyaigela Ila komaa kupata elimu ya nje ya mfumo uliokwisha pangwa na watu fulani wakaamua kuwa huyu ajue mpaka hapa zaidi ya hapa hatuwezi mtawala ama mnyonya.yaani watu wanajua utumwa umeisha Ila upo kwenye form nyingine kabisa yaani kabisa. Jiulize Ni Nani aliyesema kuwa ukatwe iyo asilimia fulani ya Kodi ya kile unachokitengeneza. Hizo pension unajiona Kama wanakupenda mbona hawafanyi kwa wakulima vibarua mana hawana manufaa nao mkuu.DUUH
Wewe Ni virus gani hao wanaokaa 20yrs mwilini bila ya kuleta madhara. Mbona korona virus tuliona mchoro wake pia effects zake was instant. Umekaririshwa na umekuwa na muumini mzuri.miaka 20 baada
Raia wanauza mechiThd za hivi mbona zimekua nyingi sana hapa JF?
Hii ina ashiria nini wakuu?
why are you so hell bent in making impositions of your beliefs on everybody else? What you believe to be true is well within your rights as a human being but then you don't have to make a point to defy everybody else in the sense of branding ignorance on them.Wewe Ni virus gani hao wanaokaa 20yrs mwilini bila ya kuleta madhara. Mbona korona virus tuliona mchoro wake pia effects zake was instant. Umekaririshwa na umekuwa na muumini mzuri.
Hivi unajua kuwa umeme ulikuwepo kabla hujagunduliwa sema alisubiriwa mtu wa kuugundua
Zamani kiongozi was dini alisema kuwa dunia ni flat tukaamini na yeyote aliyeenda kinyume naye alikiona Cha mtema kuni.
Sasa jinsi tunavyowashangaa wa zamani ndivyo tutakuja kushangawa huko mbeleni after 500yrs to come.
Ivi wajua tukirudi huko nyuma like 200yrs tukamwambia baby wa baby wa babu zetu Kuna simu,komputa ama ndege inapaa hewani imebeba watu na mizigo ujue mtagombana ama naongopa.
So be open to learn new things, don't let what you already knew block you from learning new things quite to opposite to what you stored in your mind.
Unajua mtt akiumwa na mbwa atazichukia mbwa zote Ila siku akikutana na mtt mwingine anacheza na mbwa atashangaa kinyama Mana tayari anayo negative energy charged stored in his mental environments in form of energy like light or electricity.
First, everyone wants to be believed. It doesn't matter what the belief is; the experience ofwhy are you so hell bent in making impositions of your beliefs on everybody else? What you believe to be true is well within your rights as a human being but then you don't have to make a point to defy everybody else in the sense of branding ignorance on them.
Let's agree to disagree, you can advise within your 'knowledge' without insulting/undermining other's views as well. Being educated isn't proved by how you put other's down but rather seeing things in multiple scopes.
I believe that HIV is real, I have buried relatives and friends because of AIDS which was as a result of HIV so let me be the stupid one in my world where as you continue advocating what you are advocating all that within the spheres of not calling any one names.
then it's high time you woke up and smelt the coffee bro. The world does not revolve around your beliefs and your hurt feelings (ego) when refuted/opposed have very minimal to no impact whatsoever to the universal existence.First, everyone wants to be believed. It doesn't matter what the belief is; the experience of
being believed feels good. I think these positive feelings are universal, meaning that they apply to
everyone. Conversely, no one likes to be disbelieved; it doesn't feel good. If I said, "I don't believe
you," the negative feeling that would resonate throughout your body and mind is also universal. By the
same token, none of us likes to have our beliefs challenged. The challenge feels like an attack.
Everyone, regardless of the belief, seems to respond in the same way: The typical response is to argue,
defend ourselves (our beliefs), and, depending on the situation, attack back. When expressing
ourselves, we seem to like being listened to. If we sense our audience isn't paying attention, how does it
feel? Not good! Again, I think this response is universal.
Walaji wa kimasihara mkuuThd za hivi mbona zimekua nyingi sana hapa JF?
Hii ina ashiria nini wakuu?
Hapa umeongopa nionyeshe Ni wapi nimewaita ivyo. Huwa Sina Tania ya ku devalue mtu kwa wazo lake Mana I know we're all biased and subjective towards some stuffs.calling them ignorant/stupid
Mkuu surely unaamini hamna HIV au unaleta theory za time travelHapa umeongopa nionyeshe Ni wapi nimewaita ivyo. Huwa Sina Tania ya ku devalue mtu kwa wazo lake Mana I know we're all biased and subjective towards some stuffs.
Do you know Dr Sebi?
Feels like this is dragging far too long than I really am interested. I'm out of this debate bro. Adios...Hapa umeongopa nionyeshe Ni wapi nimewaita ivyo. Huwa Sina Tania ya ku devalue mtu kwa wazo lake Mana I know we're all biased and subjective towards some stuffs.
Do you know Dr Sebi?
Vinapatikana wapi?Mkuu vipimo vipo mpk vya kutumia mate jipime mwenyeee baada ya kujitafakari na kujikubali