Kitabibu kwa nini?utosi unamaanisha?kuna jamaa ana manvi kibao wake bado unatweet.
Inafunga baada ya mwaka mmoja na nusu......pale sio kwamba panapumua bali ni zilr arteries zinasupply blood kwenda kweny ubongo zinakuwa zinapulsate......yani damu inavopita pale kwa kasi ndo unaona panafanya vile
Kabisa......mana sio jambo la kawaida........kwa mda huo ubongo unakuwa atleast umekomaaOkay, kwa hiyo akizidi muda huo inabidi kumwona Doctor?