Msaada kada ya Afya - Mtoto

Msaada kada ya Afya - Mtoto

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,521
Reaction score
1,906
Wakuu heri za sikukuu,

Naomba msaada===> Watoto wadogo kichwani uwa wanasehemu ambayo uwa inabonyea ukiangalia wakati amekatwa nywele ni kama vile ina tweet - yaani kama inapumua vile ama kitu kama hicho.

Hivi hiyo kitu huwa inaitwaje kitabibu, na je inatakiwa iache mtoto akiwa na umri gani?

Naomba mwenye kujua anijuze, Natanguliza shukrani za dhati
 
Kitabibu kwa nini?utosi unamaanisha?kuna jamaa ana manvi kibao wake bado unatweet.
 
Kitabibu kwa nini?utosi unamaanisha?kuna jamaa ana manvi kibao wake bado unatweet.

Ndiyo nina maana ya utosi, nilitaka kujua jina la ki-daktari kama lipo ili niweze kufuatilia. Je mtoto mwenye miaka 2 na wiki mbili ni kawaida kuendelea ku- tweet ama kuna tatizo la kiafya?
 
Inafunga baada ya mwaka mmoja na nusu......pale sio kwamba panapumua bali ni zilr arteries zinasupply blood kwenda kweny ubongo zinakuwa zinapulsate......yani damu inavopita pale kwa kasi ndo unaona panafanya vile
 
Okay, kwa hiyo akizidi muda huo inabidi kumwona Doctor?
 
Kabisa......mana sio jambo la kawaida........kwa mda huo ubongo unakuwa atleast umekomaa

Nashukuru, kwa hiyo wewe upo ktk fani hii nikutafute, kuna jamaa yangu ana mtoto bado una tweet
 
Yaah nipo katika fani lkn badhani utakua unaishi mbali sana na mm????
 
Lkn pia yawezekana isiwe tatzo........kwan mtoto anaumri gn
 
Zinaitwa fontanelle zinakua wazi wakati wa kuzaliwa kurahisisha mafuvu kujibana mtoto aweze kupita kwenye njia ya uzazi kwa urahisi.. ya utosini hufunga miezi 3-4 ya kisogoni hufunga miezi kama 18 hivi
 
Back
Top Bottom