MSAADA: Kajumba ka 76.5m² kanaweza kula bati ngapi?

MSAADA: Kajumba ka 76.5m² kanaweza kula bati ngapi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Mlalo wa kawaida sio hii ya kwenda juu sana?

Nisaidieni makadirio wakuu.

Nyumba yenye size Square mita 76.5 sio milioni 76.
 
Kiukweli makadirio ya bati bila ramani Ni kudanganyana TU [emoji4]
 
Inategemea na unataka kupauaje.
Pia weka ramani ya nyumba itasaidia watu kukukadiria.
 
Back
Top Bottom