Jamani Ahsanteni Sana Kwa Ushauri Wenu Kiasi Nimeufanyia Kazi But Police Walichokifanya Ni Kumwacha huru Dhen Wamemkamata Yeye Na Mchumba Wake Katika Kituo Kingine Na Wamegoma Jamaa Kuwekewa Dhamana Na MTU yeyote But Bado Kama Familia Tuko Tuna faight Jamaa Awe Huru