Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nishauri mkuu maana nipo hapa kuomba ushauriPole sana sana mkuu, lakini kupitia kaka yako tunapata somo kua si vizuri kununua simu kwa mtu haijalishi ni nani.
Mkuu je ukipewa ushauri ambao utahitaji tena pesa itakuaje?? Ndio utakwama tena??
Saa nyingine hata sio umaskini kiongoziPole sana umasikini mbaya sana
nilikueko mahakamani yaani hata kipindi wanapewa hukumu hatukuepo tulizuiwa kuingia tumekuja kuruhusiwa kuingia tayari wameshahukumiwaKiimsingi katika sheria, baada ya maamuzi kutolewa juu ya kesi yoyote nafasi inayobaki ikiwa kunaupande haujaridhika na maamuzi nikukata rufaa.
Naomba nitumie nakala ya hukumu DM then tuone tunafanyaje.
Na ndio vinatuponza. Tuwe makini saana katika kununua hivi vitu.Yaani vitu vya bei cheee
Very sad, maisha haya Askari wetu hawana weredi wa investigation, ni kazi sana kwa mazingira ya kwetu. Pesa mbele, dhuruma , mateso etcKwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa
Kosa ile simu aliyonunua iliporwa kwa nguvu kutumia silaha na kupora vitu baadhi ikiwemo pikipiki, na katika sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye.
Wakapelekwa polisi kwa upelelezi badae kesi ikaenda Mahakamani wamekaa miezi tisa mmoja wao alitoka wiki mbili zilizopita wakabaki wawili.
Leo ilikuwa siku ya hukumu na imetokea kama nilivyoeleza hapo juu,
Nimeongea na kaka amelia sana anasema wamefungwa kwa kukosa hela ambapo mwenzao kesi ya pamoja ametoka kwa kutumia pesa. Kwa upande wetu pesa hatuna familia ya kimasikini
Naomba msaada kama kuna utaratibu upi tuutumie kama familia, imeniuma sana kuona kaka anafungwa miaka yote hiyo.
yuda exalioth
Jamiiforms
geita
Natumaini utapata msaada.Asante