Msaada: Kaka Yangu Kahukumiwa Miaka 30 Leo

Pole sana sana mkuu, lakini kupitia kaka yako tunapata somo kua si vizuri kununua simu kwa mtu haijalishi ni nani.

Mkuu je ukipewa ushauri ambao utahitaji tena pesa itakuaje?? Ndio utakwama tena??
nishauri mkuu maana nipo hapa kuomba ushauri
 
Ndo muda wako Sasa kwenda kumtunza shemeji yako serikali kilasiku kupitia TCRA na polisi wanawambia acheni kutumia laini zilizosajiliwa nawengine pia kununua vitu mitumba aina hiyo
 
Kiimsingi katika sheria, baada ya maamuzi kutolewa juu ya kesi yoyote nafasi inayobaki ikiwa kunaupande haujaridhika na maamuzi nikukata rufaa.

Naomba nitumie nakala ya hukumu DM then tuone tunafanyaje.
nilikueko mahakamani yaani hata kipindi wanapewa hukumu hatukuepo tulizuiwa kuingia tumekuja kuruhusiwa kuingia tayari wameshahukumiwa

hata nakala sjui ni nani hua anakaa nazo tuliingia kuonana na kaka akaniambia tayari nmeshahukimiwa
 
Ndo muda wako Sasa kwenda kumtunza shemeji yako serikali kilasiku kupitia TCRA na polisi wanawambia acheni kutumia laini zilizosajiliwa nawengine pia kununua vitu mitumba aina hiyo
yaani
 
Very sad, maisha haya Askari wetu hawana weredi wa investigation, ni kazi sana kwa mazingira ya kwetu. Pesa mbele, dhuruma , mateso etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…