Msaada: Kaka Yangu Kahukumiwa Miaka 30 Leo

Mimi ndo mana maisha yangu yote huwa sinunui kitu used. Pole Sana, Mungu atamsaidia atatoka salama.
 
Kama kweli hajauzika katk unyanganyaji wa kutumia silaha bas mpambanie hatoke ila Kama alihusika pasina kuacha shak yoyote bas akajngane tu na sabaya hkn namna
 
Pole sana, ondoa hofu ili uwezekumsaidia kaka,na uzuri wa jamii ina wajuzi wa sheri wakumwaga, pole sana
 
Asante mkuu

yaani wamelalamika kwamba inakueje shahidi anakua ni askari wale wale waliowakamata ndio waliotoa ushahidi
Askari waliyomkamata na kielelezo lazima watatoa ushahidi. Hiyo haina ubishi
 
Pole sana ndugu hii dunia ina mambo magumu sana.
 
Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.
Mkuu umesoma kweli maelezo ya mleta mada?
 

Kumbe unatokea ukoo wa yuda eskarioti

Bro badili jina

La sivyo

Utahisi unarogwq
 
Mimi sio mtaalam wa Sheria.
Je file la kesi linataja washtakiwa wangapi?
Je huo aliyeachwa huru kaachwa huru na mahakama yenyewe au na polisi?
Na je hao watuhumiwa walipatiwa msaada wa kisheria(wakili)
Ikiwa majibu ni,
Swali la kwanza tatu,
Swali la pili ni police,
Swali la tatu ni hawakupewa mawakili, kateni rufaa. Lakini pia fungua mashtaka ya kesi ya rushwa Kwa askari aliyepatiwa kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…