Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askari waliyomkamata na kielelezo lazima watatoa ushahidi. Hiyo haina ubishiAsante mkuu
yaani wamelalamika kwamba inakueje shahidi anakua ni askari wale wale waliowakamata ndio waliotoa ushahidi
Mkuu umesoma kweli maelezo ya mleta mada?Simu huwa zinanunuliwa madukani, iweje yeye anunue kwa mtu mitaani? Pili miaka 30 kwa simu tu haiingii akilini, lazima kuna makosa mengine kama ya ujambazi au wizi huyo kaka yako kayafanya. Refer kifungo cha Sabaya kwa miaka kama hiyo.
Kwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa
Kosa ile simu aliyonunua iliporwa kwa nguvu kutumia silaha na kupora vitu baadhi ikiwemo pikipiki, na katika sakata hilo walikamatwa watu watatu akiwemo na yeye.
Wakapelekwa polisi kwa upelelezi badae kesi ikaenda Mahakamani wamekaa miezi tisa mmoja wao alitoka wiki mbili zilizopita wakabaki wawili.
Leo ilikuwa siku ya hukumu na imetokea kama nilivyoeleza hapo juu,
Nimeongea na kaka amelia sana anasema wamefungwa kwa kukosa hela ambapo mwenzao kesi ya pamoja ametoka kwa kutumia pesa. Kwa upande wetu pesa hatuna familia ya kimasikini
Naomba msaada kama kuna utaratibu upi tuutumie kama familia, imeniuma sana kuona kaka anafungwa miaka yote hiyo.
yuda exalioth
Jamiiforms
geita
Mrejesho?Wakuu
KatokaaaaaMrejesho?
Alitoka?
Mimi sio mtaalam wa Sheria.Kwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa