Msaada: Kaka yangu kichaa, alivuta bangi sana zamani

pole sana mkuu,

Familia yenu,ichunguze mtakuwa na history ya magonjwa ya akili,

kama alivuta bangi zamani,hii sio sababu ya yeye kugeuka kichaa sasa hivi,

ni kwamba ame go through stressful events hivi karibuni,ambavyo vimetrigger huu ugonjwa,

kuna kitu kinaitwa 'epigenetics' which is genes and environment,vinaplay part kwenye huu ugonjwa.

Mpeleke hospital ya vichaa,huku ukiangalia jinsi ya ku adjust maisha yake akitoka hospital,mfungulie hata kiduka awe busy.ukiwa occupied and happy with your life,huumwi,ingawa saa nyingine,ukiumwa it means unahitaji life medication.
 
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Kuna Mzee mwanaye alikuwa teja, siku kazima alimbeba akampeleka mochwari akawapa hela wamuweke mwanae katikati ya maiti wa ajari. Mshikaji napoandika hapa ni Mchungaji.
 
Aiss naikumbuka hadithi ya Adili na nduguze

Sent from my TV
 
Washirikina bwana

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mzee mwanaye alikuwa teja, siku kazima alimbeba akampeleka mochwari akawapa hela wamuweke mwanae katikati ya maiti wa ajari. Mshikaji napoandika hapa ni Mchungaji.
Hiyo pia ni dawa hawa wateja wanaovuta bangi na kuwa wendawazimu ni wana matatizo ya Saikolojia ya maisha ndio inayo wafanya wawe hivyo sio ugonjwa bali ni maisha magumu watu wana amuwa kuwa wateja na kuvuta bangi na madawa ya kulevya ukitumia njia kama ya kwako na njia ya kwangu wanapona haraka. Kuliko kuwapa Ma-vidonge watakula Vidonge na kupona hawaponi.
 
Bangi haimfanyi MTU awe kichaa baba ana mapepo huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…