Msaada: Kaka yangu kichaa, alivuta bangi sana zamani

Tutaua mkuu kwa stlye hii.
 
Mpeleke hospital yoyote ya umma madaktari wa magonjwa ya Afya ya ajili wakamuone.
 
Mh! una uhakika kweli ni kaka yako? kwa sababu uzi wenyewe una mushkeli, oooo.....kaka yangu ni nguzo ya taifa. Nomba ufafanuzi kidogo kuhusu hilo taifa. Pole/ Mpe pole na mwache kutumia msuba
 
Sasa hiyo ni tiba gani Mkuu....! Kienyeji (asili) ama ni tiba gani tuiite..?

Mbona vichaa wengi wa Bange hawapatiwi tiba ya aina hii...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu.

Kaka yangu ni kichaa fulani, alikula msuba(bangi) nyingi sana zamani,mm nikiwa mdogo ,bila kazi ya kipato. Asante.

Inawekana kuwa ana tatizo fulani, lakini anatumia Bangi ili kwamba asahau matatizo yake, au pia inawezekana kama akawa mmoja wa watu ambao ni rahisi kuwa addicted kwa vitu vingi. Usikate tamaa, wengi waliumwa ,wana matatizo kama kwenye depression, wamekata tamaa na maisha, au kitu fulani kikubwa kibaya kimetokea kwenye maisha yao (Amepoteza kazi, Mke amemwacha, Wazazi wamefariki, Ngudu wengi inabidi awasaidie ni mtu mzuri lakini hana pesa za kutosha kumsaidia kila ndugu wake wote.) baadaye wakwa wazuri tu.

Don't lose hope. Mpeleke Muhimbili, wana psychologists wanaweza kumsaidia. Kama una pesa muda mfupi ulipe pesa wampeleke kwenye vyumba private kwa mtu mmoja.

Ni vizuri sana na watamsaidia vizuri sana au kuna hospitali tanga ni private ya catholic ambayo unaweza kulipa na kusaidia. Lakini ni gharama kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…