Msaada:kama umewahi kula Chipsi??

Msaada:kama umewahi kula Chipsi??

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Leo nikiwa katika mishe mishe zangu nimekutana na ujumbe huu katika daladala.

"CHIPSI HAZINA UKOKO"

Vp hilo jambo lina ukweli?
 
Back
Top Bottom