Msaada: Kama unafahamu mkoa wa Njombe kiundani

Msaada: Kama unafahamu mkoa wa Njombe kiundani

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habari wajumbe natumaini nii wazima wa afya.

Nikienda kwenye mada moja kwa moja nilikuwa napenda kuuliza kuhusu mkoa wa Njombe maana mimi sijawahi kufika wala kupawaa ila kwa siku ya leo nimepokea simu na swali nikaitikia sema nikashindwa toa jibu.

MASWALI YENYEWE NI:
1. Kweli Njombe ina ardhi nzuri ya kilimo?
2. Njombe kuna kilimo kizuri cha zao gani?
3. Njombe nasikia titiki lina kubali sana?
4. Njombe mashamba ni bei rahisi?
5. Njombe mashamba yao hasa wanalimia trekta au mikono.
6. Kutoka DOM mpaka NJOMBE ni kiasi gani?
7. La mwisho ni kujua gharama za maisha kwa chumba na vyakula na upande wa biashara.

Ni hayo maswali ndio niliulizwa kwa siku ya leo kama kweli unafahamu vizuri kuhusu njombe ningependa sana kupata majibu utakuwa umenisaidia sana.

NA KWAKUWA NJOMBE INA MAENEO TOFAUTI NINGEPENDA UNIELEZEE KWAMAENEO HUSIKA KUTOKANA NA HAYO MASWALI KAMA UNA FAHAMU KIUNDANI
 
Kwa njombe mashamba ni bei rahisi kukodi mda mzuri wa kukodi shamba ni baada ya watu kuvuna viaz mviringo. Njombe wanalima sana mahindi viazi parachichi n.k pi
A wanalima kwa trekta
Maisha kwa njombe mjini ni ya kawaida vyumba kuanzia 10k 15k had 25k kwa single room
double ni kuanzia 30k had 50k per month
 
Na kuhusu mazao ya matikiti ni kweli hicho kilimo kina kubali au kipo huko
 
Back
Top Bottom