Msaada kampala university(KIU)

Msaada kampala university(KIU)

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
877
Jamani mimi nimepata BCC,HKL ninataka kuomba baed kampala.Naomba kujua mapungufu ya chuo hiki,na chuo kingine kizuri apa dar es salaam.
 
Jamani mimi nimepata BCC,HKL ninataka kuomba baed kampala.Naomba kujua mapungufu ya chuo hiki,na chuo kingine kizuri apa dar es salaam.

Actually kwa sasa sijui kama wana qualified lecturers. Wayback walikuwa wababaishaji tu... kwa sasa I can't say sina info latest
 
Back
Top Bottom