Siyo vizuri kuifananisha Vits na hizo takataka nyingine! Tena uipate Vits yenye manual gear box! Dah! Unaweza kuhisi unamiliki VX/V8 vile. [emoji849]
Kwa kigezo cha muonekano bora belta hizo zingine zimekaa kimaskini sanaMkuu wewe ungechagua ipi?
Very trueKwa kigezo cha muonekano bora belta hizo zingine zimekaa kimaskini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
vitz ni roho ya paka mzee hasa old model ila body ya belta ni mayaiMkuu wewe ungechagua ipi?
🤣🤣🤣 dahKwa kigezo cha muonekano bora belta hizo zingine zimekaa kimaskini sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote ni nzuri tu. Mtu ambaye hajawahi kununua au kumiliki gari utamuona ana disi sana.Habari Wakuu,
Mimi sio mzoefu sana na sjui chochote kuhusu Magari hivyo ninaomba kuuliza kati ya Toyota Belta,Toyota Platz na Toyota Vitz zote zenye engine ya 2NZ(1290cc) ipi inafaa zaidi kwa kuangalia vigezo kama ulaji wa Mafuta,upatikanaji wa spares na uimara?
Asanteni