gashambala uwezo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 485
- 67
habali wan Jf , mimi na mwenzangu ,
tumekuwa tukitumia uzazi wa mpango kwa njia ya kalendar njia hii tuliianza tangu mwaka jana desemba
sasa basi katika maelekezo tuliyopata , njia hii inafaa sana kwa mwanamke/biti mwenye mzunguko wa siku
katika ya 26na 32.
ndipo njia hii inafaa, na endapo mzunguko ukiwa zaidi ya 32 ni vyema kutumia njia nyingine, inaitwa cyle beads , kwa bahati mbaya kabisa njia hii hatukuweza kuielewa vizuri.mwenye kujua zaidi atusaidie.
mwezangu amepata hedhi leo tar 15/3 na ya mwezi uliopita ilikuwa tarehe 11/2 sasa basi tukihesabu hapa
tunapata siku 33, ina maana ile njia hafai tena na mubadala wake ni cyle beads km nilivyosema awali kuwa
njia hii hatukuwaza kuielewa vizuri,
msaada p'se tuepuke mimba katika kipindi hiki ambacho hatuko tayari kupata mtoto
asante.