Msaada katika hili "Vodacom Buddy transaction "

Msaada katika hili "Vodacom Buddy transaction "

Ally Msangi

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2010
Posts
608
Reaction score
120
Jana nimepokea mesage hii ambayo ilinishangaza sana,

"Your Vodacom Buddy transaction REF:XXXXXXXXXXXXXX has been completed"

Cha ajabu zaidi, nilipoangalia salio nikakuta 79,000/= kama salio langu, ndipo nilipo staajabu nakujiuliza, wats ths, au ni transaction imekosewa ikaja kwangu, ebu nijuzeni nicje itumia nikaja daiwa mie.
 
du ebu naomba huo mgao upite huku Jf na ss 2bahatike!! NkuPM no yngu pleeez !!
 
watakuwa wanafanyia majaribio new service labda

by the way, can we talk about the 79k?
 
Back
Top Bottom