Msaada katika hili

Msaada katika hili

Ngondombole

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
646
Reaction score
184
Habari wana JF wenzangu,
Kwanza samahani kwa kutumia jukwaa ambalo sio sahihi lakini naona litanisaidia zaidi maana watembeleaji wake ni wengi.
Naomba msaada nimekuwa na tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa ( Unyeo/ ------) kila ninapoenda kujisaidia ila hapaumi wala nini..!! Nimeenda hospital Burhan na Hindu Mandal wakanipa dawa ya tube ambayo ni cream kwa ajili ya kuingiza sehemu husika mara 3 kwa siku, lakini naona tatizo haliishi. Plz naomba msaada maana linanichanganya sana jamani.
Nawasilisha.
 
Hamna maumivu kabisa mkuu?ina sound kama bawasiri,tafadhali nenda hospitali nyingine au urudi tena Hindul mandal,pole sana.
 
Hamna maumivu kabisa asee, issue ni blood inatoka kama unachinja kuku. Nimeongea na daktari wa Hindu Mandal nikamwone specialist ijumaa. Hali mbaya mpaka napanic
Hamna maumivu kabisa mkuu?ina sound kama bawasiri,tafadhali nenda hospitali nyingine au urudi tena Hindul mandal,pole sana.
 
pole sana mkuu kama hamna maumivu labda basi unapokuwa unajisaidia huwa unatoa haja ngumu sana na hivyo kuacha michubuko kwenye sehemu zako za haja kubwa na hivyo unapokuwa ukijisaidia tena ile michubuko inakwanguliwa upya na kusababisha damu kukutoka,kwani inakutoka kwa wingi sana au ni kiasi kidogo?pole tena mkuu Ngondombole.
 
Last edited by a moderator:
Kuna ugonjwa ambao nimesahau unaitwaje! Nadhani kesi yako itakuwa a bit serious! unaweza kuhitaji operation!!!
 
Ahsante sana mkuu, Inatoka nyingi mkuu kama unachinja kuku (drops), inanichanganya sana. Dokta kaniambia niende ijumaa wacheki.

pole sana mkuu kama hamna maumivu labda basi unapokuwa unajisaidia huwa unatoa haja ngumu sana na hivyo kuacha michubuko kwenye sehemu zako za haja kubwa na hivyo unapokuwa ukijisaidia tena ile michubuko inakwanguliwa upya na kusababisha damu kukutoka,kwani inakutoka kwa wingi sana au ni kiasi kidogo?pole tena mkuu Ngondombole.
 
daaaaahhh i feel sorry for you mkuu nothing painful like suffering from something you dont get a cure,i can feel the pain that goes with your words pole sana mkuu ila tumia ushauri wa Mentor pale nafikiri tatizo lako ni serious na utahitaji opperation,jamani get well soon.
Ahsante sana mkuu, Inatoka nyingi mkuu kama unachinja kuku (drops), inanichanganya sana. Dokta kaniambia niende ijumaa wacheki.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha sidhani kama itakuwa na impact kwenye naniliii bwana....

Iwe inaimpact!
Iwe haina!
Kama ni mimi ningemwambia doctor anipe dawa nyengine hata ikiwa chungu kama shubili poa tu! Lakini mpango wa kuji... Sitaki kabisaaaaaaaaaa!
 
unaogopa kujifumua mwenyewe,, au unahisi unaweza anza kamchezo kibaya....?
 
Habari wana JF wenzangu,
Kwanza samahani kwa kutumia jukwaa ambalo sio sahihi lakini naona litanisaidia zaidi maana watembeleaji wake ni wengi.
Naomba msaada nimekuwa na tatizo la kutokwa na damu sehemu ya haja kubwa ( Unyeo/ ------) kila ninapoenda kujisaidia ila hapaumi wala nini..!! Nimeenda hospital Burhan na Hindu Mandal wakanipa dawa ya tube ambayo ni cream kwa ajili ya kuingiza sehemu husika mara 3 kwa siku, lakini naona tatizo haliishi. Plz naomba msaada maana linanichanganya sana jamani.
Nawasilisha.

Pole sana kwa hilo tatizo, labda nikuulize swali moja, je kuna uvimbe wowote mdogo ambao umejitokeza na kuning'inia kidogo nje ya hayo maeneo? Kama ni ndiyo inaweza kuwa Piles/hemorrhoids. Hivi ni vivimbe ambavyo hutokea njia ya haja kubwa na kwa wengine huleata maumivu na kwa wengine inaweza isilete maumivu. Unaweza kwenda Agha Khan kumuona Dr. Athenary (sijui kama jina nimelipatia) au surgeon yeyote anaweza kukusaidia.

Kama hakuna uvimbe wowote inaweza kuwa ni rectal bleeding ambayo husababishwa na mambo yafuatayo:

Anal cancer
Anal fissure (tear in the skin of the anus)
Angiodysplasia (abnormalities in the blood vessels near the intestines)
Colon cancer
Colon polyps
Constipation
Crohn's disease
Diarrhea
Diverticulosis (a bulging pouch that forms on the wall of the intestine)
Food poisoning
Hemorrhoids - hii niliitaja hapo juu
Intussusception (a portion of the intestine slides inside another portion)
Ischemic colitis (colon inflammation caused by reduced blood flow)
Proctitis (inflammation of the rectum)
Pseudomembranous colitis (colon inflammation caused by an infection)
Radiation therapy
Rectal prolapse (part of the rectum protrudes through the anus)
Solitary rectal ulcer syndrome (a sore on the wall of the rectum)
Ulcerative colitis

Hapo Aga Khan au Muhimbili wanaweza kukusaidia kukupa uchunguzi wa haraka. Jitahidi uende mapema kabla tatizo halijawa kubwa.

Pole na kila kheri,

HP
 
Ahsante sana kwa ushauri mzuri, ntaufanyia kazi. Hakuna uvimbe wowote unaoning'inia, dawa ninayo tumia inaitwa 'Pyloocain' ni Anti-Haemorrhoids

Back
Top Bottom