HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Ahsante sana kwa ushauri mzuri, ntaufanyia kazi. Hakuna uvimbe wowote unaoning'inia, dawa ninayo tumia inaitwa 'Pyloocain' ni Anti-Haemorrhoids
Ndugu yangu, kama wamekupa Anti-Haemorrhoids wakati huna uvimbe wowote na hawajafanya diagnosis ya kueleweka bado si msaada sana. Kama nilivyokushauri mwanzo nenda hosp kubwa wakufanyia uchunguzi mkubwa. Kuna vipimo kama colonoscopy vinaweza kutumika kujua ukubwa wa tatizo lako na kisha kupewa dawa sahihi.
Kila la kheri,
HP