Msaada katika tatizo hili la PayPal katika kulink Kadi

Msaada katika tatizo hili la PayPal katika kulink Kadi

medisonmuta

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
2,400
Reaction score
1,424
Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:

Screenshot_20210128-070128~2.png
Screenshot_20210128-064530~3.png
 
Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:

View attachment 1687886View attachment 1687887
Renew kadi yako sababu unajaribu kuweka kadi ambayo una expire mwezi huu ndo maana inakataa.

Renew kadi yako ili update expire date mpya ya mbele huko
 
Renew kadi yako sababu unajaribu kuweka kadi ambayo una expire mwezi huu ndo maana inakataa.

Renew kadi yako ili update expire date mpya ya mbele

Kadi imekwisha mwezi 1-2021
Ngoja nijaribu kutengeneza ya M Pesa master card. Airtel inanikatalia kutengeneza kadi hadi niliyokuwa nayo ipate kuisha muda wake.
 
Back
Top Bottom