Msaada katika uchaguzi wa fani

Msaada katika uchaguzi wa fani

Hasa

New Member
Joined
Nov 15, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Habari wapambanaji

Naombeni mwenye uelewa kati ya fani hizi mbili ni ipi bora Kwa wakati wetu huu kuisoma
  1. Procurement and supply management
  2. Marketing
 
Ukisoma hizi, unatawacheka wenzako kitaa wanazunguka bahasha za kaki....

1655646894888.png
 
Hizo kozi ni ngumu kwa mazingira ya kibongo kibongo kama hiyo ya pili ndio pasua kichwa kabisa utaishia kuzungusha masufuria mitaani.Kama unataka kusoma finance bora usome accountance(uhasibu) maana hiyo ni fani kama uanasheria au uhandisi hasa ukipiga na CPA.
 
Back
Top Bottom