M MENGO KINGSLEY Member Joined May 23, 2024 Posts 22 Reaction score 12 May 23, 2024 #1 Habari wakuu, Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo ni mzoefu na natarajia nitakata mwezi ujao
Habari wakuu, Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo ni mzoefu na natarajia nitakata mwezi ujao